TUZO TATU za DJIGUI DIARRA za LIGI KUU, AMTUPA NJE AISHI MANULA na KHOMEIN wa GEITA GOLD..
TUZO TATU za DJIGUI DIARRA za LIGI KUU, AMTUPA NJE AISHI MANULA na KHOMEIN wa GEITA GOLD..

TUZO TATU za DJIGUI DIARRA za LIGI KUU, AMTUPA NJE AISHI MANULA na KHOMEIN wa GEITA GOLD.. Ule usiku uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu wa tuzo za TFF, hatimaye umefika na Julai 07, tuzo hizo zinatolewa katika ukumbi wa Johari Rotana jijini Dar. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline



Polisi Tanzania Vs Geita Gold fc, Magoli Yote hapa
Polisi Tanzania Vs Geita Gold fc, Magoli Yote hapa

polisitanzania #polisitanzaniafc #live #geitagoldfc #geitagold #hengetv.



#LIVE NIGER VS TANZANIA MCHEZO WA KUFUZU AFCON
#LIVE NIGER VS TANZANIA MCHEZO WA KUFUZU AFCON

live Fatilia matangazo ya moja kwa moja Niger VS TANZANIA mchezo wa Kufuzu AFCON #simba #geitagold #live #nbcleague ...



MZEE MUCHACHO: YANGA HAITOFUNGWA HADI LIGI INAISHA/ YANGA WAMESHATUFUNGA MWANZA MARA MBILI
MZEE MUCHACHO: YANGA HAITOFUNGWA HADI LIGI INAISHA/ YANGA WAMESHATUFUNGA MWANZA MARA MBILI

Telegram: https://t.me/KidanistarsTV WENYEJI, Biashara United wamelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na vigogo, Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Yanga walitangulia na bao la mshambuliaji wake Mkongo, Fiston Kalala Mayele dakika ya 75, kabla ya Collins Opare kuisawazishia Biashara United dakika ya 78. Mayele anafikisha mabao 14 na kumfikia mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole katika kinyang’anyiro cha ufungaji Bora. Yanga inafikisha pointi 64 katika mchezo wa 26 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi 13 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao hata hivyo wana mechi moja mkononi. Biashara United wenyewe wanafikisha pointi 24 katika mchezo wa 25 na kupanda nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, wakiizidi wastani wa mabao tu Tanzania Prisons. Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Je,wewe unatumia Telegram? Kama ni ndio karibu kwenye Channel yetu ya Kidanistars Telegram. BONYEZA Link hii https://t.me/KidanistarsTV




« Previous Next »


Popular Tags

#Allen Iverson  #Best Goalkeeper Saves  #Gareth Bale  #Goalkeeper Saves  #Lionel Messi  #Chris Paul  #Anthony Davis  #Gareth Bale  #Derrick Rose  #Football Defensive Skills  

Popular Users

#DjokerNole  #NASA  #MariaSharapova  #IAmJericho  #JLo  #katyperry  #akshaykumar  #TheRealJRSmith  #BizNasty2point0  #shakira  #BrunoMars  #JohnCena  #KimKardashian